Mungu ana njia ya kututoa kwa kila jaribu. Lakini haijaandikwa kwamba jaribu linaondoka
Mfano katika Yohana 15 unaweza kuonekana kuwa mgumu kidogo kuelewa. Yesu ni mzabibu, sisi ni matawi, na Mungu ndiye mkulima. Je, haya yote yanamaanisha nini?
Maisha yangu yalibadilika kabisa nilipokutana na watu waliohubiri maisha ya Kristo - na kuyaishi.
Yesu ni nani kwako? Je! Umemkabidhi moyo wako wote na maisha yako kama Bwana na Mwalimu wako - au je, yeye ni "dhabihu ya dhambi" tu kwako?