Tuanze mwaka mpya tukiwa na matumaini na imani hai katika neno lote la Mungu.
Nililelewa katika familia ya Kikristo, lakini ni nini kilichonisadikisha kwamba Ukristo ulikuwa ukweli wa maisha yangu mwenyewe?
Je, Ukristo unaweza kumpa nini mtu ambaye anataka kufanya tofauti?
Tunaweza kukubali upendo wa Mungu, na kujifunza kupenda kama Yeye anavyopenda!
Ushuhuda wa Paulo ulikuwa: " Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda." Ushuhuda wako utakuwa nini?
Siku yenye tija ni nini?
Makala hii iliandikwa kwa ajili ya Mwaka Mpya mnamo 1957, lakini ni muhimu leo kama ilivyokuwa wakati huo
Hii hakika itakufanya uwe na furaha zaidi!
Ni kwa namna gani baadae yangu itakuwa chanya Habari zote zikiwa hasi?
Jinsi nilivyoshinda upweke.
Inawezekana kuwa huru kutoka kwa Mshitaki kuanzia mwanzo katika maisha yako ya Kikristo!
Kwa mistari hii kama silaha, hatuhitaji kuruhusu kukata tamaa kutushinda kamwe!
Yesu ni Kristo, Mwana wa Mungu aliye Hai, na ni juu ya mwamba huu ambapo Kanisa limejengwa
Je, unatafuta kuwa bora katika mambo ambayo ni muhimu sana?
Wanawake wote wanaweza kuwa wanawake katika Kristo!
Ninajua kuwa inawezekana kubadilika, kwa sababu nimeona kwa mama yangu.
Watu wengi hushindwa kuwa huru kutoka katika maisha yao ya zamani, lakini kwa imani iliyo hai kwa Mungu inawezekana kutoelemewa tena na mambo ya zamani
Dhumuni la zawadi ya neema ya Yesu ni nini? Je, neema ni kitu ninachopokea kuficha dhambi zangu, au inamaanisha kitu tofauti sana?
Kabla ya Mkristo kupokea Roho Mtakatifu, unaweza kumlinganisha na gari lisilo na injini.