Ushuhuda wa Paulo ulikuwa: " Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda." Ushuhuda wako utakuwa nini?
Nililelewa katika familia ya Kikristo, lakini ni nini kilichonisadikisha kwamba Ukristo ulikuwa ukweli wa maisha yangu mwenyewe?
Je, Ukristo unaweza kumpa nini mtu ambaye anataka kufanya tofauti?
Tunaweza kukubali upendo wa Mungu, na kujifunza kupenda kama Yeye anavyopenda!
Makala hii iliandikwa kwa ajili ya Mwaka Mpya mnamo 1957, lakini ni muhimu leo kama ilivyokuwa wakati huo
Siku yenye tija ni nini?
Tuanze mwaka mpya tukiwa na matumaini na imani hai katika neno lote la Mungu.
Hii hakika itakufanya uwe na furaha zaidi!
Ni kwa namna gani baadae yangu itakuwa chanya Habari zote zikiwa hasi?
Jinsi nilivyoshinda upweke.
Je, umeridhika na jinsi ulivyo? Au unahisi kuna nafasi ya kuboresha?
Je, unalijua "tumaini bora" ambalo Yesu alileta?
Je, mimi ni kama Mariamu au kama Martha linapokuja suala la uhusiano wangu na Yesu?
Hofu ya kweli ya Mungu daima itakuwa muhimu na "ya kisasa".
Umeitwa kushiriki katika asili ya Kristo mwenyewe!
Mungu alipomtuma Mwanawe duniani kuwa Mwokozi wetu, alimtuma kuwa mtumishi wake.
Tunahitaji kufanya maamuzi mengi maishani. Tunapaswa kuwa waangalifu kile tunachochagua, kwa kuwa baadhi ya chaguzi hizi zinaweza kusababisha uzima kiroho au kifo!
Nuru hushinda giza, na upendo hushinda chuki. Tunapaswa kujua tunasimama wapi na tunapigania nini.
Kwa kutembea katika nuru, mwanamume, mwanamke, rangi, na utamaduni wanaweza kuungana katika mwili wa Kristo.