Bibi harusi wa Kristo

Bibi harusi wa Kristo ni wale wote waliojitakasa, kama alivyosafi amekuwa kama kristo. (Warumi 8:29) hujisafisha na kujitakasa kutoka dhambi na ni wafuasi wakweli wa kristo. Bibi haarusi kwa maana nyingine ni kanisa la kristo.