Hofu ya mtu

Hofu ya mtu ni pale unapofikiria na kufanya makubwa kwa kushawishiwa na mawazo ya watu wengine na wanavyofikiria juu yako.  Kama umefungwa na hofu ya mtu huwezi kumtumikia Mungu, kwa sababu watu wanavyofikiria juu yako ni muhimu sana kuliko Mungu anavyofikiria juu yako. (Mithali 29:25; 1Samweli 15:24)