Kanisa

Watu wengi hutumia neno “kanisa” kuelezea kuhusu wakristo wote, wengine hulitumia kuelezea kikundi cha wakristo au jengo ambalo wakristo hulitumia kuabudu. Biblia inaweka wazi kwamba kanisa la kweli la Kristo limeundwa na walewaliojikana wenyewe, wamejitwika msalaba, na kumfuata. (Waefeso 2:19-22; Mathayo 16:24)