“Kujikana mwenyewe: Inamaanisha kwamba, kupitia nguvu ya roho mtakatifu, hauingii katika tamaa na hamu ya dhambi inayotoka ndani yako. Ni moja kati ya vigezo vya kuwa mwanafunzi wa yesu. (Kumfuata yesu). (Mathayo 16:24)