Hiki ni kitendo ambapo Mungu huvunja hali ya mtu kujihesabia haki, nguvu na kiburi na hivyo kumfanya awe mnyenyekevu na mtiifu. Ndipo Mungu anaweza kumtumia kutimiza mapenzi yake. (Zaburi 51:16-17; Isaya 53:10)