Kutenda dhambi

Kutenda dhambi ni kufanya kitu ambacho unajua ni kinyume na mapenzi ya Mungu. Hii inaweza kuwa kwa maneno, matendo au hata fikira. (Yakobo 1:14-15) Tazama pia “tenda dhambi” katika faharasa.