Kuweka katika kifo/ kuua

Hii nikushinda dhambi tunapojaribiwa na tamaa zetu au kufikiria vitu ambavyo tunajua kuwa ni dhambi (ambavyo ni kiburi, chuki, maneno maovu, wivu n.k) hii inamanisha kusema hapana juu ya mawazo haya na kutokubaliana nayo. Tamaa ya dhambi si kwamba tu imetawaliwa lakini itafikia hatua hufa kabisa. (Warumi 8:13; Wakolosai 3:5)