Mabadiliko

Huu ni mchakato wa utakaso, ambapo asili yetu ya dhambi hubadilishwa taratibu na asili ya kimungu tunapokua watiifu katika mapenzi ya Mungu na kukataa na kuweka katika kifo tamaa zote za dhambi katika miiili yetu, katika asili yetu ya kibinadamu. (Waruni 12:2; 2Wakorintho 3:18; 2 Petro 1:3-4.)