Roho ya nyakati

Roho ya nyakati au roho wa dunia ni roho ya uovu ambayo inapatikana katika utamaduni wa dunia ya sasa. Siyo ya kudumu hubadilika mara kwa mara na kutoka utamaduni mmoja na mwingine. Roho ya nyakati haionekani kuwa ovu kila wakati, lakini mara nyingi hufanya watu kutomtumika Mungu na kutomheshimu. (1 Wakorintho 2:12; Waefeso 2:1-3; Waefeso 6:12; 2 Wathesalonike 2:7-11; 1Yohana :1-3; Ufunuo wa Yohana 16:13-14)