Tamaa

Hizi ni hamu ambazo tunazipata ambazo zipo kinyume na mapenzi ya Mungu. Kwa maneno mengine, tamaa ni kitu chochote ambacho ni dhambi. Tazama Yakobo 1:14. Pia huita “dhambia katika mwili” Japo usemi “tamaa za ujana” mara nyingi huzaniwa kama hamu za kingono pekee, tamaa huhusisha jambo lolote linaloenda kinyume na yaliyo mema na haki katika macho ya Mungu. (2Timotheo 2:22; Wagalatia 5:24; Warumi 8:3)