Tenda dhambi

Kutenda dhambi ni kuchagua kufanya kitu ambacho unajua kabisa kwamba ni kinyume na mapenzi ya Mungu na sheria zake. Hii inatokea pale unapokua umejaribiwa na tamaa za uongo katika mwili wako wenye asili ya dhambi na unachagua kuyafanya. Ukijua kabisa kuwa haumpendezi Mungu. Hii inaweza tokea katika maneno, matendo au mawazo. (Yakobo 1:14-15)