Utakaso

Utakaso ni hali ambapo unabadilishwa kutoka kwenye asili ya dhambi na kuja kwenye asili ya kimungu kwa kuziweka dhambi zote katika kifo. (kukataa majaribu). Hii ndiyo inamaanisha kuosha kikombe kwa ndani. (Mathayo 23:26) asili yako ya dhambi taratibu inaanza kubadilishwa na matunda ya roho – asili ya kimungu. (Warumi 12:2; 2 Petro 1:4)