Utu wa ndani

Utu wa nje ni mwili wetu wa nyama tunapokuwa hapa duniani. Utu wetu wa ndani ni roho yetu ya na nafsi yetu ya milele. (Warumi 7:22; 2Wakorintho 4:16; Waefeso 3:16; Mathayo 10:28)