Neno “ya kidunia” hutumika kuelezea kitu chochote ambacho mtu anafanya kwa kutimiza malengo na maadili ya kidunia. Hii inapingana na ile ya kiroho. (1Yohana 2:15-17; Tito 2:11-12)