Tunawezaje kuwa sehemu ya nyumba ya Mungu, kanisa, mwili wa Kristo, ambao atauchukua atakaporudi?
Ukristo wa Utendaji
Bruce Thoma
Aksel J. Smith
Tunawezaje kufikia ukuaji wa kiroho na kuungana pamoja na wengine katika mwili wa Kristo?
Mungu amenipangia njia ambayo ni bora kwangu tu.
Ni vizuri sana kuwa na ushirika na wengine. Lakini ni kwa nini ushirika unahitajika
Katika Pentekoste, wanafunzi walibatizwa na Roho Mtakatifu na moto. Bila moto huu hakuwezi kuwa na umoja.