Mungu huwapinga wenye kiburi , bali huwapa neema wanyenyekevu. Kujihukumu na kujinyenyekeza ni jambo kubwa zaidi unaloweza kufanya katika maisha haya!
Ukristo wa Utendaji
Elias Aslaksen
Ninawezaje kuwa na uhakika kwamba ninatumia talanta zangu kwa Mungu?
Aya hii ni kama mapatano kati yangu na Mungu: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
kuwa kama mwana wa Mungu hutegemea jambo hili muhimu sana.
Kiburi ni dhambi inayoathiri kila mtu.
Tuna majivuno mengi ambayo hata hatuoni. Lakini Mungu anataka kutuweka huru kutokana na hilo!
Wakati Julia alipoona jinsi alivyojaa kiburi na majivuno, alijua kuwa kuna kitu angeweza kufanya juu yake.