kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
Ukristo wa Utendaji
Aya hii ni kama mapatano kati yangu na Mungu: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
Kiburi ni dhambi inayoathiri kila mtu.
kuwa kama mwana wa Mungu hutegemea jambo hili muhimu sana.
Wakati Julia alipoona jinsi alivyojaa kiburi na majivuno, alijua kuwa kuna kitu angeweza kufanya juu yake.