Kama Mkristo ambaye anataka kumpendeza Mungu, ninahitaji mwongozo wake. Lakini ninawezaje kusikia sauti ya Mungu?
Ninawezaje kuacha kuathiriwa kirahisi sana kufanya kile ninachojua ni kibaya?
Ninapoona jinsi miitikio yangu hasi "ya kawaida" haijawahi kufanya chochote bora, nataka kufanya mambo kwa njia tofauti.