Maneno yana nguvu. Yanaweza kujenga na kubomoa
Ungejisikiaje kama ungekuwa na wanaume 300 tu wa kupigana dhidi ya jeshi kubwa?
Je! Mimi ni mtu ambaye wengine wanaweza kumtazama, hata ninapojaribiwa kukasirika au mawazo machafu?
Ni nani au ni nini huamua ikiwa nitakerwa na wale walio karibu nami?
Je, ninazitumiaje fursa hizi?