Siwezi kubadilishwa kuwa kama Kristo kwa kubadilisha tu jinsi ninavyotenda kwa nje au kwa kuishi tu maisha mazuri ya Kikristo ya nje.
Kiburi ni dhambi inayoathiri kila mtu.