Mkristo ana tamaa ya kumtumikia Mungu. Huu ndio mwanzo wa wokovu. Lakini je, anaweza kuupoteza wokovu huu?
Watu wengi huuliza swali - ninawezaje kuwa na uhakika kwamba nimeokolewa?