Makala hii iliandikwa kwa ajili ya Mwaka Mpya mnamo 1957, lakini ni muhimu leo kama ilivyokuwa wakati huo
Ukristo wa Utendaji
Aksel J. Smith
Tuanze mwaka mpya tukiwa na matumaini na imani hai katika neno lote la Mungu.
Ujumbe chanya na wenye matumaini kwa mwaka ujao
Mwaka huu uliopita haukuwa rahisi, lakini nina kila sababu ya kuwa na imani kamili kwa siku zijazo.
Kama wakristo, tunaweza kutumani nini katika mwaka mpya?