Mambo yote hutokea kwa ajili ya mema kwangu” lakini je, ninalifanyiaje mazoezi katika maisha yangu ya kila siku, kama napojaribiwa kuwa na wivu?
Je, umewahi kuhisi kuwa kila kitu ni kinyume na wewe? Ndivyo ninavyohisi leo.