Inawezekana kuwa huru kutoka kwa Mshitaki kuanzia mwanzo katika maisha yako ya Kikristo!
Yesu alipozaliwa tumaini jipya lilikuja kwa kila mtu ambaye alikuwa amechoka kuwa mtumwa wa dhambi.Tumaini jipya!
Wakati wa Krismasi tunamfikiria Mwokozi wetu. Lakini hilo lamaanisha nini kwetu?