Yesu alipozaliwa tumaini jipya lilikuja kwa kila mtu ambaye alikuwa amechoka kuwa mtumwa wa dhambi.
Wakati wa Krismasi tunamfikiria Mwokozi wetu. Lakini hilo lamaanisha nini kwetu?