Fedora anasimulia jinsi alivyoachana kabisa na hasira yake mbaya.
"Hata iwe unaishi wapi au wewe ni nani, unaweza kuwa na furaha kabisa."
"Naenda wapi kutoka hapa?" lilikuwa ni swali lililokuwa likiunguza moyo wa kijana mmoja kutoka Cameroon baada ya kuokoka.