Kuna vita tunahitajika kupigana, vita dhidi ya dhambi – ambayo ni mzizi wa mateso yote.
"Naenda wapi kutoka hapa?" lilikuwa ni swali lililokuwa likiunguza moyo wa kijana mmoja kutoka Cameroon baada ya kuokoka.