Baadhi ya shule zina siku za "Onesha na nena". Nilifikiria jinsi hiyo inatumika pia tunapotaka kushiriki injili na wengine…
Je, ungejisikiaje kujua kwamba maisha yako hayana maana?
Mwanzoni kujitenga na kuunganishwa kwa njia ya mtandao ilikua kitu kigeni na pia chenye kufurahisha – mpaka nilipogundua kwamba vyanzo vyetu vya mapato vilikua vikipungua kwa mmoja hadi mwingine.
Haijalishi ni kwa kiasi gani tunatofautiana na watu wengine, kuna kitu ambacho ni sawa kwetu sote ...
Je, ningefaulu zaidi ikiwa tu hali zangu zingekuwa tofauti?
Sio sote tunazaliwa na nguvu za kihemko, na hiyo ni sawa. Lakini hapa ndio tunaweza kufanya mawazo na hisia zetu zinapojaribu kutuvuta.
Sote tunajua wivu ni mbaya. Lakini je! Ninaweza kukubali kwamba nina wivu haswa na sio kujilinganisha tu na marafiki zangu?
Sote tunajua kuwa kulaumu wengine kamwe hakuisaidii hali, lakini njia hii ya kujibu iko katika asili yetu tangu mwanzo ...
Nguvu kubwa ya shukrani inaweza kubadilisha hali kabisa.
Hiki ndicho kilinitoa kwenye shimo hatari la huzuni wakati wa kipindi kigumu sana maishani mwangu.
Inaweza kuwa vigumu kutosha kusamehe mtu ambaye anajuta…
Ukweli wa kushangaza kuhusu jinsi ilivyo vigumu kuwa mwema.