Kwa nini wakati mwingine ninawaumiza wengine au kufanya iwe vigumu kwao bila kuwa na nia ya kufanya hivyo?
Aya hii ni kama mapatano kati yangu na Mungu: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
"Maoni" yako yanatoka wapi - mambo unayoamini na kuhisi kwa nguvu sana? Je, wewe ni sawa kila wakati, na unapaswa kufanya nini unapofikiri kuwa uko sahihi, lakini wengine wana maoni tofauti na wewe?
kufuatilia masomo haya matatu yatakusaidia kuwa na mahusiano mema, yenye baraka na afya!
Jibu rahisi nililowahi kusikia mtu akitoa kwa swali hili lilinigusa sana.
Muda mwingine nilitamani kwamba ningeacha tu kujali namna watu wengine walivyokuwa wakifikiria juu yangu.
Kugundua jinsi ilivyo vizuri kuwa wazi na mwaminifu kuhusu imani yangu.