Aya hii ni kama mapatano kati yangu na Mungu: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
Jibu rahisi nililowahi kusikia mtu akitoa kwa swali hili lilinigusa sana.
kufuatilia masomo haya matatu yatakusaidia kuwa na mahusiano mema, yenye baraka na afya!
"Maoni" yako yanatoka wapi - mambo unayoamini na kuhisi kwa nguvu sana? Je, wewe ni sawa kila wakati, na unapaswa kufanya nini unapofikiri kuwa uko sahihi, lakini wengine wana maoni tofauti na wewe?
Muda mwingine nilitamani kwamba ningeacha tu kujali namna watu wengine walivyokuwa wakifikiria juu yangu.
Kugundua jinsi ilivyo vizuri kuwa wazi na mwaminifu kuhusu imani yangu.