Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa.
Ukristo wa Utendaji
Ninawezaje kuwa na uhakika kwamba ninatumia talanta zangu kwa Mungu?
kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
Alta alikasirika kwa urahisi kwa kila mtu na kila jambo na hii ilikuwa ikiharibu maisha yake. Angewezaje kutafuta njia ya kuacha kukasirika?
Aya hii ni kama mapatano kati yangu na Mungu: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
Kiburi ni dhambi inayoathiri kila mtu.
Tuna majivuno mengi ambayo hata hatuoni. Lakini Mungu anataka kutuweka huru kutokana na hilo!
Je! Ninahitaji kubadilisha kabisa jinsi nilivyosoma baadhi ya mistari katika Biblia? Je! Nimekuwa nikizisoma vibaya wakati wote huu?
Wakati Julia alipoona jinsi alivyojaa kiburi na majivuno, alijua kuwa kuna kitu angeweza kufanya juu yake.
Je, ninafanya mambo yale yale ambayo ninawakosoa wengine?
Vita ya mama mmoja dhidi ya kujilinganisha mwenyewe na wengine.
Kuna wakati amri "Usihukumu" haitumiki.