Kila kitu tunachosema kinatokana na mawazo yetu.
Ukristo wa Utendaji
Baadhi ya shule zina siku za "Onesha na nena". Nilifikiria jinsi hiyo inatumika pia tunapotaka kushiriki injili na wengine…
Kugundua jinsi ilivyo vizuri kuwa wazi na mwaminifu kuhusu imani yangu.
Je, watu wanaonizunguka wanaona maisha katika Mungu, au wanaona mtu ambaye mara nyingi hutenda kulingana na asili yake?
Ikiwa unataka kumshawishi mtu kuwa Mkristo, maisha ya uaminifu yanazungumza zaidi kuliko maneno.
Njia muhimu ya kuwa mwinjilisti mwema.