Kwa kutembea katika nuru, mwanamume, mwanamke, rangi, na utamaduni wanaweza kuungana katika mwili wa Kristo.
Ukristo wa Utendaji
Aksel J. Smith
Tunawezaje kuwa sehemu ya nyumba ya Mungu, kanisa, mwili wa Kristo, ambao atauchukua atakaporudi?
Ninawezaje kuwa na uhakika kwamba ninatumia talanta zangu kwa Mungu?
Ni vizuri sana kuwa na ushirika na wengine. Lakini ni kwa nini ushirika unahitajika
Kwa nini uamsho wa Kikristo hukoma au kufa?
Njia muhimu ya kuwa mwinjilisti mwema.