Je, unatamani kuwa na tunda la Roho?
Ukristo wa Utendaji
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
Tunda la roho ni asili ya kimungu (Upendo, uvumilivu, utu wema, n.k) ambalo huja pale nilipoifia dhambi
Utu wema na upole ni matunda ya Roho. Biblia imejaa watu ambao walikuwa na matunda haya katika maisha yao, na ni mifano kwa sisi kufuata!
Katika Mithali inasema kwamba mtu mwaminifu ni vigumu kumpata. Je, wewe ni mmoja wa watu hao wachache?
Je, nyumba yako ni kipande cha mbinguni kwa watoto wako?
Hadithi ya mama kuhusu kile alichokiona alipoachana na ndoto yake ya “maisha kamili".
Furaha. Ni tunda la Roho ambalo sisi sote tunalitafuta. Namna gani tunaweza kuwa na furaha ya kweli?
“Sasa Bwana wa amani mwenyewe na awape amani yake nyakati zote na kwa kila hali.” Je, hii inafanyaje kazi kwa vitendo?