Mfano katika Yohana 15 unaweza kuonekana kuwa mgumu kidogo kuelewa. Yesu ni mzabibu, sisi ni matawi, na Mungu ndiye mkulima. Je, haya yote yanamaanisha nini?
Ukristo wa Utendaji
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
Tunda la roho ni asili ya kimungu (Upendo, uvumilivu, utu wema, n.k) ambalo huja pale nilipoifia dhambi
Utu wema na upole ni matunda ya Roho. Biblia imejaa watu ambao walikuwa na matunda haya katika maisha yao, na ni mifano kwa sisi kufuata!
Hadithi ya mama kuhusu kile alichokiona alipoachana na ndoto yake ya “maisha kamili".