Kila siku ni zawadi ya thamani kutoka kwa Mungu, yenye neema mpya na fursa mpya
Ukristo wa Utendaji
Inaweza kuwa vigumu kuelewa kwamba Mungu anapotuadhibu na kutusahihisha, kwa kweli ni neema Yake.
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Si jambo baya kujua udhaifu wako linapokuja suala la dhambi. Hapana, hata kidogo! Lakini unajua unaweza kupata nguvu kutoka wapi?