Tunajuaje kwamba Mungu anatupenda? La muhimu zaidi: Je, Mungu anajuaje kwamba tunampenda?
Ukristo wa Utendaji
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
Ni vyema kujitathimini wenyewe kuona kama Yesu bado ni upendo wa kwanza katika maisha yetu.
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo." 1 Yohana 4:8.
Yesu anawezaje kutulazimisha kuwapenda watu? Unaweza kufanya mwenyewe upendwe na mtu mwingine?