Yesu alipozaliwa tumaini jipya lilikuja kwa kila mtu ambaye alikuwa amechoka kuwa mtumwa wa dhambi.
Ukristo wa Utendaji
Tuanze mwaka mpya tukiwa na matumaini na imani hai katika neno lote la Mungu.
Ujumbe chanya na wenye matumaini kwa mwaka ujao
Ishara niliyoona nikiwa njiani kwenda kazini ilinifanya nifikirie kuhusu Krismasi ya kwanza huko Bethlehemu.
Sifurahii sana zawadi, muziki na mapambo yote wakati wa Krismasi. Lakini kuna jambo moja ambalo mimi husisimka kuhusu Krismasi.
Mwaka huu uliopita haukuwa rahisi, lakini nina kila sababu ya kuwa na imani kamili kwa siku zijazo.
Wakati wa Krismasi tunamfikiria Mwokozi wetu. Lakini hilo lamaanisha nini kwetu?
Je, tunajua kwamba Mungu yuko karibu nasi siku zote? Kila siku, katika maisha yetu yote?
Kama wakristo, tunaweza kutumani nini katika mwaka mpya?
Msimu wa Krismasi unaweza kuwa na shughuli nyingi sana kiasi kwamba tunaweza kusahau kwa urahisi kile tunachosherehekea.
"Uwe mwenye shukrani katika hali zote." Tunaweza kufanya hivyo kwa namna gani?
Watu husherehekea Pasaka kwa njia nyingi tofauti, lakini tunatumai kuwa mimi na wewe pia tutasimama na kufikiria maana halisi ya Pasaka.