: Yesu alisema kuna wachache ambao huipata njia nyembaba. Unajua namna ya kuipata na cha muhimu Zaidi, mamna ya kuipitia.
Ukristo wa Utendaji
Watu wanapsawa kuona neno la Mungu kwenye maisha yetu.
Je, umehesabu gharama?
Yesu hayupo hapa duniani kwa kibinafsi, kwa hivyo ninawezaje kuwa mwanafunzi Wake? Ninawezaje kumfuata na kuishi karibu naye?
Chuki ni neno lenye nguvu. Je, Tunapaswa kumchukia baba na mama yetu, mke na watoto, kaka na dada, na hata sisi wenyewe?
Yesu alisema kuwa kuwa mwanafunzi wake, lazima "uchukue msalaba wako kila siku". Unawezaje kufanya hivyo?
Kuwa mtiifu katika maneno ya Mungu ambayo Yesu alisema kutatupeleka katika maisha kwenye wingi wake katika uzima wa milele. Imeandikwa na Ukristo hai.