Henoko alipokea ushuhuda kwamba alimpendeza Mungu
Ann Steiner
Ukristo wa Utendaji
Je, ushindi wa Daudi dhidi ya Goliathi unawezaje kuwa mfano kwetu katika nyakati za kisasa?
Ujumbe wa matumaini kwa mtu yeyote ambaye anahisi kama hafai vya kutosha.
Samweli alikuwa maalumu toka utoto. Hadithi yake inatuonesha ni jinsi gani ilivyo muhimu kusikiliza sauti ya Mungu na kuitii, kwa namna yo yote.
Debora alikuwa nabii wa kike na mwamuzi katika Israeli. Yeye ni mfano wenye nguvu wa jinsi imani katika matendo inavyofanya kazi!
Ingekuwa kawaida kabisa kwa Sarah kutoamini kuwa atakuwa na mtoto wa kiume…hata hivyo, alikuwa na miaka 90.
Tunaweza kujifunza mengi kutokana na hadithi ya Yusufu.
Ungejisikiaje kama ungekuwa na wanaume 300 tu wa kupigana dhidi ya jeshi kubwa?
Tunapokuwa na roho ya imani, Mungu anaweza kutusaidia kushinda mambo ambayo yanaweza kuonekana kuwa hayawezekani kabisa.
Unaweza kufanya nini unapozungukwa na maadui zako?
Kwa nini Musa akawa kiongozi mkuu hivyo?
Alikuwa tu msichana wa kawaida kutoka Nazareti, lakini akawa mama ya Yesu Kristo. Kwa nini yeye?
Somo juu ya kuondoka kwa imani, kutoka kwa yatima ambaye alikuja kuwa malkia
Soma hadithi hii yenye kutia moyo kuhusu uaminifu wa kweli wa Danieli, na imani yake kwa Mungu haijalishi ni nini kilimpata.