Dhambi ni nini - dhambi ya asili, matendo ya mwili, dhambi katika mwili (katika asili yetu ya kibinadamu). Kuna tofauti gani kati ya kuwa na dhambi (kuwa na asili ya dhambi) na kutenda dhambi?
Ukristo wa Utendaji
Kwa nini hafanyi iwe rahisi kwangu kuamini?
Sikutarajia kamwe kuwa mtu anayemwamini Mungu.
Mungu alitaka tuwe hai, lakini kwa sababu gani?