Makala hii iliandikwa kwa ajili ya Mwaka Mpya mnamo 1957, lakini ni muhimu leo kama ilivyokuwa wakati huo
Ukristo wa Utendaji
Nimepata sababu tatu kwa nini naweza kutazamia na kushukuru kwa mwaka ujao na nyakati zinazokuja!
Mungu mwenyewe ndiye anayedhibiti mipaka ya maisha yetu kwa lengo la kutusogeza karibu naye.
karibia wakristo wote hutafuta kilicho kikuu, na hutaka Watoto wao wawe wakuu ulimwenguni. Lakini hiki sicho Mungu anachotaka kwa ajili yetu!
Tumaini letu linapokuwa kwa Kristo, tuna tumaini la wakati ujao katika utukufu mkuu na wa milele.
Ujumbe chanya na wenye matumaini kwa mwaka ujao
Inaweza kuwa ngumu kupata maana ya maisha wakati kila siku inapita sawa na ile ya hapo awali, hadi uanze kutazama maisha kwa njia mpya kabisa.
Kama wakristo, tunaweza kutumani nini katika mwaka mpya?
Ni kwa namna gani baadae yangu itakuwa chanya Habari zote zikiwa hasi?
Kuna njia moja ambayo haijawahi kumkatisha tamaa yule anayeichagua. Je! Unafikiria kufuata ndoto yako ndio njia hiyo? Au kuna kitu zaidi?
Nitafanya nini ninapojihisi sipo kama navyotakiwa niwe?
Mtazamo wako uko wapi maishani
“Muda wako ujao unaonekanaje? Umepanga maisha yako?" Ilibidi nisimame na kufikiria kabla sijajibu.