Nikiwa binti mdogo, niligundulika kuwa na saratani ambayo ilisababisha kupoteza mguu wangu
Ukristo wa Utendaji
Somo lililonisaidia kushinda msongo wa mawazo na kutokuwa na utulivu
Kuwaona watu jinsi Mungu anavyowaona, hutusaidia tunapohusika na watu wenye nguvu, wanaotawala.
Ili kupata amani ya Mungu ambayo itaweka moyo wako na akili yako katika Kristo Yesu, unapaswa kupigana!
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana kwa nini tunajaribiwa kuwa na wasiwasi, lakini tuna nguvu kubwa katika ulimwengu kwa upande wetu!
Kulazwa hospitalini na UVIKO-19, aya za Biblia ambazo ziliendelea kumjia akilini mwake ni kitu ambacho Hermeni angeshikilia.
“Je! Kuna yeyote kati yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza saa moja katika maisha yake?” Mathayo 6:27
Jinsi tishio la bomu lilivyopima ujasiri wangu kwa Mungu.
Inawezekana kuweka imani yangu yote kwa Mungu. Anaongoza maisha yangu.
Nilipata furaha kujua kwamba Mungu aliniumba jinsi nilivyo.
“Muda wako ujao unaonekanaje? Umepanga maisha yako?" Ilibidi nisimame na kufikiria kabla sijajibu.
Unapokua na hofu, unamfanya Mungu awe mdogo na wewe kuonekana mkuu. Kiukweli unamwita Mungu muongo.