Kulazwa hospitalini na UVIKO-19, aya za Biblia ambazo ziliendelea kumjia akilini mwake ni kitu ambacho Hermeni angeshikilia.
Ukristo wa Utendaji
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana kwa nini tunajaribiwa kuwa na wasiwasi, lakini tuna nguvu kubwa katika ulimwengu kwa upande wetu!
“Je! Kuna yeyote kati yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza saa moja katika maisha yake?” Mathayo 6:27
Unapokua na hofu, unamfanya Mungu awe mdogo na wewe kuonekana mkuu. Kiukweli unamwita Mungu muongo.