kufanya jambo jema, lazima nijiweke huru kutoka katika uovu.
Uchungu na kuwa na jambo dhidi ya mtu mwingine huhwaweka watu mbali kati ya mmoja na mwingine – lakini kuna suluhisho.
Sisi sote tuna tamaa za dhambi katika asili yetu zinazojaribu kutuhadaa tufanye maovu. Je, tunawezaje kuokolewa kutokana na haya?
Kuna njia moja ambayo haijawahi kumkatisha tamaa yule anayeichagua. Je! Unafikiria kufuata ndoto yako ndio njia hiyo? Au kuna kitu zaidi?
Je, una tumaini la maisha ya milele? Unaweza kuishi maisha ambayo yatakupeleka katika uzima wa milele katika muda wako hapa duniani?
Watu wengi wanaweza kusema kwamba kinyume cha furaha ni huzuni. Lakini je, hii ni kweli?