Hakuna Mtu Anayependa Kuwa na Majaribu na Matatizo, Lakini Kwa Nini Tunayahitaji ili kuja katika Utukufu wa Mungu?
Ukristo wa Utendaji
Aksel J. Smith
Ushuhuda wa Paulo ulikuwa: " Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda." Ushuhuda wako utakuwa nini?
Hebu fikiria ikiwa unaweza kusema mwishoni mwa maisha yako: "Hiyo ilikuwa bora zaidi kuliko nilivyofikiria ingekuwa!"
Kuweza kutazamia siku ambayo nitakutana na Mwokozi wangu na kupokea thawabu ya maisha ya uaminifu, ni mojawapo ya faida kuu za kuwa Mkristo.
Kifo ni siri kubwa. Lakini kama mkiristo nina ahadi ya thamani kwa hali yangu ya baadaye.
Kifo katika kaya kilifanya nifikirie..
Lengo la mwisho katika maisha haya ni kupumzika na amani katika hali zote, katika kila aina ya shida. Je! Tunapataje amani ya aina hii?
Inawezekana kuishi maisha ya Yesu tukiwa bado hapa duniani!
Jua utajiri wa kweli ni nini na unaweza kuupataje.
Mungu anataka kuwa na roho yetu, na anataka kufanya makao yake ndani yetu tena. Anafanyaje hili?
Biblia inazungumza kuhusu kuwa mkamilifu. Hii inamaanisha nini, na inawezekana?
Nini hutokea tunapofikia mipaka yetu kama wanadamu?
Kuwa Mkristo ni bora zaidi kuliko tunavyoweza kufikiria.
Je! Unajua jinsi imani katika Mungu inavyobadilisha maisha yako?
Je, Ninaweza "kuingia mbinguni" ikiwa siingii tayari katika roho ile ile inayotawala mbinguni nikiwa hapa duniani?
Je! Unajua thawabu yako ni nini?
Furaha. Ni tunda la Roho ambalo sisi sote tunalitafuta. Namna gani tunaweza kuwa na furaha ya kweli?
“Sasa Bwana wa amani mwenyewe na awape amani yake nyakati zote na kwa kila hali.” Je, hii inafanyaje kazi kwa vitendo?
Ahadi kuu ambayo Mungu ametupa ni kwamba tunaweza kubadilishwa kabisa!
Nilikuwa nimesahau kitu muhimu sana na cha lazima - tuzo yangu kubwa.
Mfano mzuri wa matokeo ya maisha ya kumfuata Yesu.