karibia wakristo wote hutafuta kilicho kikuu, na hutaka Watoto wao wawe wakuu ulimwenguni. Lakini hiki sicho Mungu anachotaka kwa ajili yetu!
Ukristo wa Utendaji
Watu wanapsawa kuona neno la Mungu kwenye maisha yetu.
Chuki ni neno lenye nguvu. Je, Tunapaswa kumchukia baba na mama yetu, mke na watoto, kaka na dada, na hata sisi wenyewe?
Yesu hayupo hapa duniani kwa kibinafsi, kwa hivyo ninawezaje kuwa mwanafunzi Wake? Ninawezaje kumfuata na kuishi karibu naye?
Yesu alisema kuwa kuwa mwanafunzi wake, lazima "uchukue msalaba wako kila siku". Unawezaje kufanya hivyo?
Sisi ni watu waliochaguliwa na Mungu, ametuchagua kabla ya kuumba ulimwengu. Unaiamini? Unaiishi?
Ingekuwa imekwenda tofauti ikiwa mtawala mchanga tajiri angechagua kutoa kila kitu
Je, Sisi wanadamu tunawezaje kumfuata Kristo, Mwana wa Mungu?
Sisi ni binadamu. Tunatenda dhambi. Je, huo ndio mwisho wa hadithi?